Asante kwa kuchagua bidhaa hii ya Sony.
Kabla ya kutumia runinga, tafadhali soma
mwongozo huu kabisa na ubaki nao ili urejelee
baadaye.
Picha zilizotumiwa katika mwongozo huu ni za
KDL-42R500A isipokuwa iwe imesemwa
kivingine.
Maelezo ya alama ya biashara
• ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya
Mradi wa DVB.
• HDMI, nembo ya HDMI, na Kiolesura cha
Medianuwai cha Ufasili wa Juu ni alama za
biashara au alama za biashara zilizosajiliwa za
HDMI Licensing, LLC nchini Marekani na nchi
zingine.
• Imetengenezwa chini ya leseni kutoka Dolby
Laboratories.
• “BRAVIA” na ni alama za biashara za
Sony Corporation.
• MHL, Mobile High-Definition Link na nembo ya
MHL ni alama za biashara au alama za
biashara zilizosajiliwa za MHL Licensing, LLC.
• Zimetengenezwa chiniya leseni kutoka kwa
DTS Licensing Limited. Kwa maelezo ya
hataza na alama ya biashara ya Marekani na
duniani, angalia
www.dts.com/patents/legacy.aspx.
(c) DTS Licensing Limited na DTS, Inc. 2012.
Eneo la lebo ya utambuaji
Lebo ya Nambari ya Modeli na ukadiriaji wa
Utoaji Umeme (kulingana na masharti husika ya
usalama) yako nyuma ya runinga.
SW
2
Yaliyomo
Mwongozo wa Kuanza
Kukagua vifaa vya ziada ....................................4
Kabla ya kutumia runinga, tafadhali soma “Maelezo ya usalama” (ukurasa wa 8). Bakia na mwongozo huu ili
urejelee baadaye.
SW
3
Mwongozo wa Kuanza
Kukagua vifaa vya
ziada
Kiweko cha Juu ya Meza (1)
Kuweka misumari ya Kiweko cha Juu ya
Meza (M5 × 16) (2)
Kufunga parafujo kwenye Kiweko cha Juu ya
Meza (M4 × 10) (4)
Miwani Isiyotumika ya 3D TDG-500P (4)
Rimoti ya RM-ED055 (1)
Betri za AAA (aina ya R03) (2)
x Kuingiza betri katika rimoti
Sukumu ili
kufungua
1: Kuambatisha
Kiweko cha Juu
ya Meza
• Rejelea kijikaratasi cha maagizo cha Kiweko
cha Juu ya Meza kwa uambatisho unaofaa.
• Kwanza, funga Kiweko cha Juu ya Meza
kulingana na kijikatarasi chake.
• Kwa ubora wa juu wa picha, usiweke skrini moja
kwa moja kwa mwangaza wa uakisi au wa jua.
• Kwa kutazama video ya 3D, hakikisha umefunga
Runinga ili macho yako yawe sambamba na
kitovu cha skrini ya Runinga.
1 Weka Runinga juu ya Kiweko cha Juu ya
Meza.
2 Funga Runinga kwenye Kiweko cha Juu ya
Meza kulingana na alama za mishale
ambazo zinaongoza matundu ya parafujo
kutumia parafujo zilizotolewa.
• Shikilia Kiweko cha Juu ya Meza kwa mkono
mmoja ili uepuke kuiangusha unapoiambatisha.
SW
4
• Kuwa makini usibane mkono wako ama AC
weka mkanda kwenye umeme wakati wa
kufunga Runinga kwenye Kiweko cha Juu ya
Meza.
• Weka runinga kwenye Kiweko cha Juu ya Meza
kulingana na alama za kishale ambazo
zinaongoza mashimo ya misumari iliyotolewa
pamoja na misumari.
• Runinga hii ni nzito sana, kwa hivyo watu wawili
au zaidi wanapaswa kuweka runinga hii kwenye
Kiweko cha Juu ya Meza.
• Kama unatumia bisibisi ya umeme, weka mkazo
kuwa takriban 1,5 N·m (15 kgf·cm).
• Weka runinga katika mkao wima unapokuwa
ukikaza misumari. Hakikisha umekaza vizuri
misumari uliyo nayo, la sivyo huenda runinga
ikaanguka.
• Tumia bisibisi inayofaa ili kuambatisha msumari
vizuri bila kuharibu kichwa cha msumari.
• Tafadhali hakikisha kuwa mkanda wa umeme
wa AC uko mbali na eneo la kufungia Kiweko
cha Juu ya Meza wakati unaambatanisha
Kiweko cha Juu ya Meza.
• Wakati wa kutenganisha Kiweko cha Juu ya
Meza, tengua utaratibu wa kuunganisha.
Usiondoe skurubu yoyote isipokua hizo
zilizotumiwa wakati wa kuunganisha Kiweko cha
Juu ya Meza.
2: Kuunganisha
antena/kebo/
VCR
• Kebo za kuunganisha hazijapeanwa.
Kuunganisha antena/kebo
Mwongozo wa Kuanza
Kebo ya antena
Kuunganisha antena/kebo na VCR
Kebo ya
AV
Kebo ya antena
Kebo ya
antena
VCR
SW
5
3: Kuzuia runinga
dhidi ya
kuanguka
3 Funga msumari wa mbao na msumari wa
mashine na waya yenye nguvu (haijatolewa).
z • Tafadhali weka Runinga katika eneo imara lililo
la usawa, ukiweka katika eneo lisilo imara,
linaweza kuifanya Runinga kuanguka, na kuleta
majeraha kwa watu.
• Kifaa cha hiari cha mshipi wa auni cha Sony
kinatumiwa ili kufunga runinga. Wasiliana na
kituo chako kilicho karibu cha huduma ya Sony
ili kununua kifaa hiki. Kuwa tayari na jina la
modeli ya runinga yako ili urejelee.
1 Kuweka msumari wa mbao (mm 4 kwa
upana, haijatolewa) katika kiweko cha
runinga.
2 Kuweka msumari wa mashine (M4,
haijatolewa) kwenye shimo ya msumari ya
runinga.
Urefu wa msumari wa mashine ya M4
unatofautiana kulingana na upana wa waya.
Tafadhali rejelea picha hapa chini.
6-8 mm
Msumari wa M4
Runinga
Waya
SW
6
4: Kutekeleza
usanidi wa
Kutazama runinga
kwanza
1 Miundo ya plagi ya umeme ya AC na soketi
hutofautiana kulingana na eneo.
2 Wakati runinga iko katika hali ya kusubiri,
kiashirio cha ("/1 kwenye paneli ya mbele
ya runinga huwa nyekundu), bonyeza "/1
kwenye rimoti ili kuwasha runinga.
3
1 Bonyeza "/1 kwenye runinga ili uwashe
runinga.
2 Bonyeza DIGITAL/ANALOG ili kubadilisha
kati ya hali dijitali na analogi.
3 Bonyeza vitufe vya nambari au PROG +/– ili
kuchagua idhaa ya runinga.
4 Bonyeza VOLUME +/– ili kurekebisha sauti.
Mwongozo wa Kuanza
Fuata maagizo kwenye skrini:
• Weka lugha ya maandishi ya Uonyesho
Kwenye Skrini (OSD)
• Chagua Mkoa na Eneo
• Chagua aina ya matumizi
• Chagua “Kaya” kwa mipangilio bora ya
runinga ili utumie runinga nyumbani.
• Chagua matangazo.
• Changanua idhaa
• Badilisha mpangilio wa idhaa
Kama unataka kubadilisha mpangilio wa
idhaa, fuata hatua katika “Upangaji Vipindi”
(ukurasa wa 38).
Bonyeza HOME au RETURN ili kutoka.
Unaweza pia kuweka idhaa wewe
mwenyewe (ukurasa wa 37, 38).
• Weka tarehe na saa ya sasa (ukurasa
wa 42).
SW
7
Maelezo ya
usalama
• Wakati unainua au kusoge za runinga,
ishikilie vizuri kuanzia chini.
Mzunguko wa hewa umezuiwa.
Uwekaji/Usanidi
Weka na utumie runinga kulingana na
maagizo hapa chini ili uepuke hatari
yoyote ya moto, mshtuko wa umeme au
uharibifu na/au majeraha.
Uwekaji
• Runinga inapaswa kuwekwa karibu
na soketi kuu inayofikiwa kwa urahisi.
• Weka runinga mahali dhabiti na
tambarahe ili uepuke isianguke chini
na kusababisha majer aha ya kibinafsi
au uharibifu wa runinga.
• Wahudumu waliohitimu tu ndio
wanapaswa kuiweka ukutani.
• Kwa sababu za kiusalama,
inapendekezwa sana kwamba
utumie vifaa vya ziada vya Sony,
ikiwa ni pamoja na:
– Kifaa cha Kuhangika Ukutani
SU-WL400
• Hakikisha unatumia misumari
iliyotolewa na chuma cha kuweka
ukutani wakati unaambatisha
mabano ya kushika kwenye runinga.
Misumari iliyopeanwa imeundwa
kama ilivyoashiriwa na picha wakati
imepimwa kutoka kwa eneo la
kuambatisha la kiopoo cha kuweka .
Upana na urefu wa misumari
hutofautiana kulingana na modeli ya
mabano ya ukutani.
Matumizi ya misumari tofauti na
iliyopeanwa huenda ikasababisha
uharibifu wa kindani kwenye runinga
au kusababisha ianguke, n.k.
8 mm~12 mm
Msumari M6 (unapeanwa
pamoja na Kifaa cha
Kuhangika Ukutani)
Kiopoo cha Uwekaji
Weka kiambatisho nyuma
ya runinga
Usafirishaji
• Kabla ya kusafirisha runinga, ngoa
kebo zote.
• Watu wawili au zaidi wanahitajika ili
kusafirisha runinga kubwa.
• Wakati unasafirisha runinga kwa
mikono, ishikilie kama ilivyoonyeshwa
hapa chini. Usiweke uzito kwenye
paneli ya LCD na fremu karibu na
skrini.
Hakikisha umeshikilia chini ya
paneli, sio sehemu ya mbele.
• Wakati unasafirisha runinga, usiitikise
au kuitetemesha sana.
• Wakati unasafirisha runinga ili
ikarabatiwe au wakati unaisogeza,
iweke katika katoni na vifaa vya vyake
asili vya ufungaji.
Kipitisha hewa
• Kamwe usifunike mashimo ya
kupitisha hewa au kuingiza chochote
kwenye kabati.
• Wacha nafasi kwenye runinga kama
ilivyoonyeshwa hapa chini.
• Inapendekezwa sana kwamba
utumie Kifaa cha Kuhangika Ukutani
cha Sony ili upate hewa safi ya
kutosha.
Imewekwa ukutani
30 cm
10 cm10 cm
Wacha angalau nafasi hii karibu na
runinga.
10 cm
Imewekwa na kiweko
30 cm
10 cm
Wacha angalau nafasi hii karibu na
runinga.
• Kuhakikisha upitishaji hewa unaofaa
na kuzuia ukusanyaji wa vumbi:
– Usiweke runinga ikiwa tambarare,
uiweke juu ikiangalia chini, nyuma,
au upande.
– Usiweke runinga kwenye rafu,
zulia, kitanda au ndani ya kabari.
– Usifunike runinga na kitambaa,
kama vile pazia, au vitu kama vile
gazeti, n.k.
– Usiweke runinga kama
ilivyoonyeshwa hapa chini.
10 cm
6 cm
Ukuta
Ukuta
Waya ya umeme ya AC
Shughulikia waya ya umeme ya AC na
soketi kama ifuatavyo ili kuepuka hatari
yoyote ya moto, mshtuko wa umeme au
uharibifu na/au majeraha:
– Muundo wa plagi ya umeme ya AC,
ambayo inatolewa na runinga,
hutofautiana kulinga na maeneo.
Hakikisha umeunganisha waya
inayofaa ya umeme ya AC na plagu
ambayo inatoshea soketi ya AC.
– Ingiza kabisa plagi kwenye soketi ya
umeme ya AC.
– Tumia runinga iliyowekwa kwenye
utoaji wa AC wa V 110-240 tu.
– Wakati unaunganisha kebo,
hakikisha umengoa waya ya umeme
ya AC kwa usalama wako na uwe
mwangalifu usitege miguu yako kwa
kebo.
– Ngoa waya ya umeme ya AC kutoka
kwa soketi ya umeme ya AC kabla ya
kutumia au kusogeza runinga.
– Weka waya ya umeme ya AC mbali
na chanzo cha joto.
– Ngoa plagi ya umeme ya AC na
uisafishe mara kwa mara. Kama plagi
imefunikwa kwa vumbi na ipate umaji,
kihami chake huenda kikadorora,
ambayo inaweza kusababisha moto.
Manukuu
• Usichune, kukunja, au kupinda sana
waya ya umeme ya AC. Vipitishi vikuu
huenda vikafichuliwa au kuvunjika.
• Usirekebishe waya ya umeme ya AC.
• Usiweke kitu chochote kizito kwenye
waya ya umeme ya AC.
• Usivute waya ya umeme ya AC wakati
unatenganisha waya ya umeme ya
AC.
• Usiunganishe vifaa vingi sana vya
umeme kwenye soketi moja ya
umeme ya AC.
• Usitumie soketi duni ya umeme ya
AC.
Matumizi Yaliyokatazwa
Usiweke/kutumia runinga katika
maeneo, mazingira au hali kama zile
zilizoorodheshwa hapa chini, au huenda
runinga isifanye kazi vizuri na
isababishe moto, mshtuko wa umeme,
uharibifu na/au majeraha.
SW
8
Eneo:
• Nje (mwangaza wa moja kwamoja wa
jua), ufukoni, au meli au chombo
kingine, ndani ya gari, katika taasisi
za matibabu, maeneo yasio dhabiti,
karibu na maji, mvua, umaji au moshi.
• Kama runinga imewekwa katika
chumba cha kubadilisha nguo au
bafu ya umma au chemichemi ya maji
moto, huenda runinga ikaharibika
kutokaka na salfa ya hewani, n.k.
Kusafisha:
Usinyunyize maji au sabuni moja kwa
moja kwenye runinga. Huenda ikatiririka
chini ya skrini au sehemu za nje na iingie
ndani, itakayosababisha kutofanya kazi.
Mazingira:
• Maeneo ambayo yana joto, umaji, au
yana vumbi nyingi; ambapo wadudu
wanaweza kuingia; ambapo inaweza
kuwekwa karibu na mtetemo wa
kiufundi, karibu na vifaa vinavyoweza
kuwaka moto (mishumaa, n.k.).
Runiga haitawekwa kwa maji
yanayotirika au kurushwa na vitu
vilivyojazwa maji, kama vile jagi,
hazitawekwa kwenye runinga.
• Usiweke runinga katika eneo lenye
umaji au vumbi, au katika chumba
chenye moshi au mvuke wa mafuta
(karibu na meza za kupika au vifaa
vya unyevu). Kunaweza kutokea
moto, mshtuko wa umeme au mkunjo.
Hali:
• Usitumie wakati mikono yako ina maji,
na kabati ikiwa imeondolewa, au na
viambatisho visivyopendekezwa na
mtengenezaji. Ngoa runinga kutoka
kwenye soketi ya umeme ya AC na
antena wakati wa dhoruba.
• Usiweke runinga ili itoke nje katika
nafasi wazi. Huenda ikasababisha
majeraha au uhar ibifu kutoka kwa mtu
au kitu kinachotoka kwenye runinga.
Vipande vilivyovunjika:
• Usitupe kitu chochote kwenye
runinga. Glasi ya skrini huenda
ikavunjika kutokana na athari na
kusabisha majeraha makubwa.
• Kama eneo la juu la runinga
litapasuka, usiliguse hadi ungoe
waya ya umeme ya AC. La sivyo
mshtuko wa umeme huenda
ukatokea.
• Usifanye skrini ya LCD igongwe au
kutikiswa sana. Huenda gla si ya skrini
ikavunjika na kusababisha majeraha.
Wakati haitumiki
• Kama hutakuwa ukitumia runi nga kwa
siku kadhaa, runinga inapaswa
kungolewa kutoka kwa waya ya AC
kwa sababu za kimazingira na
usalama.
• Wakati runinga haijangolewa kutoka
kwa soketi kuu wakati runinga
imezimwa, vuta plagi kutoka kwa
soketi ili ungoe runinga kabisa.
• Hata hivyo, baadhi ya runinga zina
vitendaji ambavyo vinahitaji runinga
iwachwe ikisubiri ili ifanye kazi vizuri.
Kwa watoto
• Usiruhusu watoto kupanda kwenye
runinga.
• Weka vifaa vidogo vya ziada mbali na
watoto wadogo, ili wasivimeze kwa
bahati mbaya.
Kama matatizo yafuatayo
yatatokea...
Zima runinga na ungoe waya ya umeme
ya AC mara moja kama yoyote kati ya
matatizo yafuatayo yatatokea.
Muulize muuzaji wako au kituo cha
huduma cha Sony ili ikaguliwe na
mtaalamu aliyehitimu.
Lini:
– Waya ya umeme ya AC ikiharibika.
– Kuwekwa vibaya kwa soketi ya
umeme ya AC.
– Runinga imeharibika kwa kuachiliwa,
kugongwa au kutupiwa kitu.
– Kitu chochote chenye umaji au
kigumu kikianguka kabatini.
Kuhusu Halijoto ya
Kiwamba cha LCD
Wakati Kiwamba cha LCD kinapotumiwa
kwa muda mrefu, mzunguko wa paneli
huwa na joto. Huenda ukahisi joto wakati
unapogusa hapo kwa mkono.
SW
9
Tahadhari
Kutazama runinga
• Watu wengine wanaweza kupata
usumbufu (kwa mfano kuumwa
macho, uchovu, au kichefuchefu)
wakati wanatumia bidhaa hii. Sony
inapendekeza kuwa watazamaji wote
wawe na mapumziko ya mara kwa
mara wakati wanatazama picha za
video za 3D. Urefu na idadi ya
mapumziko muhimu utatofautiana
kutoka mtu hadi mwingine. Sharti
uamue nini kinakufaa. Endapo
utapata usumbufu wowote, sharti
ukome kutumia bidhaa hii na
kutazama picha za video za 3D hadi
usumbufu uishe; muone daktari
ukiamini inafaa. S harti pia utathmini (i)
mwongozo wa maagizo wa Runinga
yako, pamoja na kifaa chochote
kinachotumiwa na Runinga yako na
(ii) Wavuti wa Sony kwa habari za hivi
punde. Kuona kwa watoto wadogo
(haswa walio umri chini ya miaka 6)
bado kunakua. Muone daktari wako
(kama daktari wa watoto ama wa
macho) kabla ya kuruhusu watoto
wadogo kutazama picha za video ya
3D ama kucheza michezo ya 3D.
Watu wazima inafaa wawalinde
watoto wadogo kuhakikisha kuwa
wanafuata mapendekezo yaliyotajwa
hapo juu.
• Yafaa utumie tu bidhaa hii kutazama
picha za video za 3D kwenye
Runinga ya Sony inayoweza kutumia
vifaa tofauti.
• Tazama Runinga kutoka umbali ulio
mara tatu ya urefu wa Runinga.
• Zuia jeraha la macho kutokana na
ncha ya nguzo ya miwani.
• Kuwa makini usibane vidole kwenye
bawaba unapopinda nguzo za
miwani.
• Tazama runinga mahali pana
mwangaza wastani, kwa kuwa
kutazama runinga mahali pana
mwangaza duni au kwa muda mrefu,
huchosha macho yako.
• Wakati unatumia vifaa vya masikioni,
rekebisha sauti ili uebuke viwango
vya juu, kwa kuwa inaweza
kusababisha uharibifu wa kusikia.
Skrini ya LCD
• Ijapokuwa skrin iya LCD imeundwa
na teknolojia ya hali ya juu na asilimia
99,99 au zaidi ya pikseli ni nzuri,
nukta nyeusi huenda zikatokea au
maeneo ya mwangaza (nyekundu,
bluu au kijani) huenda yakatokea
mara kwa mara kwenye skrini ya
LCD. Hii ni sifa ya muundo ya skrini ya
LCD na wala sio dosari.
• Usisukume au kugwaruza kichujio
cha mbele, au kuweka vitu juu ya
runinga hii. Huenda taswira isiwe
sawa au huenda skrini ya LCD
imeharibika.
• Kama runinga hii itawekwa kutumiwa
katika eneo baridi, mpako unaweza
kutokea kwenye picha au huenda
picha ikaonekana kuwa nyeusi. Hii
haiashirii kushindwa. Hali hizi
hupotea halijto inapoendelea
kuongezeka.
• Kubaki kwa taswira huenda
kukatokea wakati picha tuli
zimeonyeshwa bila kukoma. Huenda
ikapotea baada ya dakika chache.
• Skrini na kabati hupata joto wakati
runinga hii inatumika. Hii sio dosari.
• Skrini ya LCD huwa na viwango
vidogo vya chembechembe ya maji.
Badhi za tyubu za florisenti
zinazotumiwa katika runinga hii huwa
pia na zabaki (isipokuwa runinga za
LCD zenye taa ya LED). Fuata sheria
na masharti ya eneo lako kwa ajili ya
utupaji.
Kushughulikia na
kusafisha eneo/kabati ya
skrini kwenye runinga
Hakikisha umengoa waya ya umeme ya
AC iliyounganishwa kwenye runinga
kutoka kwa soketi ya umeme ya AC
kabla ya kusafisha.
Kuepuka kuharibika kwa nyenzo au
kuharibika kwa mpako wa skrini,
zingatia tahadhari zifuatazo.
• Kuondoa vumbi kutoka kwenye eneo/
kabati ya skrini, panguza polepole
kwa kitambaa laini. Kama vumbi
itaendelea, panguza na kitambaa
laini chenye umaji kidogo na
myeyusho usio mkali wa sabuni.
• Usinyunyize maji au sabuni moja kwa
moja kwenye runinga. Huenda
ikatiririka chini ya skrini au sehemu za
nje, itakayosababisha kutofanya kazi.
• Usitumie kamwe aina yoyote ya pedi
ngumu, kisafishaji cha alkalin/asidi,
poda ya kugwaruza, kiyeyusha kikali,
kama vile pombe, benzeni, kifaa cha
kuyeyusha au kiua wadudu. Kutumia
nyenzo kama hizo au kudumisha
mgusano wa muda mrefu na nyenzo
za raba au plastiki huenda
kukasababisha uharibifu kwenye
eneo la skrini na nyenzo ya kabati.
• Usafishaji wa mara kwa mara wa
maeneo ya upitishaji hewa
unapendekezwa ili kuhakikisha
upitishaji wa hewa unaofaa.
• Wakati unarekebisha mtazamo wa
runinga, isogeze polepole ili uzuie
runinga dhidi ya kusonga au kuteleza
kutoka kwa kiweko chake cha meza.
Kifaa cha Hiari
Weka vijenzi vya ziada au kifaa
chochote kinachotoa mnururisho wa
sumaki mbali na runinga. La sivyo
kuharibika kwa picha na/au sauti yenye
kelele huenda ikatokea.
Tahadhari kuhusu
kushughulikia rimoti na
betri
Manukuu
• Zingatia kingamo sahihi wakati wa
kuingiza betri.
• Usitumie aina tofauti za betri pamoja
au kuchanganya betri nzee na mpya.
• Tupa betri kwa njia nzuri kwa
mazingira. Maeneo mengine huenda
yakadhibiti utupaji wa betri. Tafadhali
wasiliana na mamlaka ya eneo lako.
• Shughulikia rimoti kwa makini.
Usiangushe au kuikanyaga, au
kumwaga maji ya aina yoyote juu
yake.
• Usiweke rimoti katika eneo karibu na
chanzo cha joto, mahali kuna
mwangaza wa moja kwa moja wa jua,
au chumba chenye umaji.
ONYO
Lazima betri zisiwekwe karibu na joto
jingi kama vile jua, moto au kama hiyo.
Utunzaji wa Miwani yako
• Pangusa miwani polepole kwa
kitambaa laini.
• Usitumie viowevu vikali vya kemikali
kama pombe, benzine kusafisha.
10
SW
Kutumia runinga
Muhtasari wa rimoti
1/ – Uchaguaji ingizo / Shikilia maandishi
• Huonyesha orodha ya vifaa vilivyounganishwa na huchagua chanzo
ingizo (ukurasa wa 17).
• Katika hali ya Maandishi: Hushikilia ukurasa wa sasa.
2 SYNC MENU
Bonyeza ili kuonyesha Menyu ya BRAVIA Sync na kisha uchague kifaa
kilichounganishwa cha HDMI/MHL kutoka kwa “Uchaguaji Kifaa”.
Chaguo zifuatazo zinaweza kuteuliwa kutoka kwa Menyu ya BRAVIA
Sync:
“Thibiti Kifaa”: Tumia menyu ya “Thibiti Kifaa” ili kutumia kifaa
ambacho kinatangamana na Kidhibiti BRAVIA Sync. Chagua chaguo
kutoka “Kaya (Menyu)”, “Chaguo” na “Orodha ya Yaliyomo” ili kutumia
vifaa.
“Vipaza sauti”: Huchagua “Vipaza sauti vya runinga” au “Mfumo wa
Sauti” ili kutoa sauti ya runinga’ kutoka kwa spika za runinga au kifaa cha
sauti kilichounganishwa.
“Thibiti Runinga”: Tumia menyu ya “Thibiti Runinga” ili kutumia
runinga kutoka “Kaya (Menyu)” au menyu ya “Chaguo”.
“Rudi k. Runinga”: Huchagua chaguo hili ili kurudi kwa vipindi vya
runinga.
3 DIGITAL/ANALOG
Bonyeza kubadili katika hali ya dijitali na analogi. Toka kwa hali ya
Maandishi, hubadilisha kwa uonyesho wa runinga wakati inaonyesha
ingizo la nje.
4 AUDIO – Sauti Mbili (ukurasa wa 35)
5 Vitufe vya nambari
• Chagua idhaa. Kwa idhaa nambari 10 na juu, ingiza dijiti zinazofuata
kwa haraka.
• Katika hali ya Maandishi: Ingiza nambari ya ukurasa ya dijiti tatu ili
uchague ukurasa.
z •Nambari 5, N,
PROG + na vitufe vya
AUDIO vina vitone vya
kugusa. Tumi vitone vya
kugusa kama rejeleo
wakati wa kutumia
runinga.
6 / – Maandishi
Katika hali ya Maandishi: Huonyesha matangazo ya Maandishi.
Kila wakati unapobofya /, uonyesho hubadilika kwa kuzunguka kama
ifuatavyo:
Maandishit Maandishi kwenye picha ya runinga (hali ya mchanganyiko)
t
Hakuna Maandishi (toka kwa huduma ya Maandishi)
7 Vitufe vyenye rangi
Wakati vitufe vyenye rangi vinavyopatikana, mwongozo wa matumizi
hutokea kwenye skrini.
8 GUIDE (EPG)
Bonyeza kuonyesha Kutumia Mwongozo Dijitali wa Vipindi vya
Elektroniki (EPG) (ukurasa wa 25).
9 F/f/G/g/ – chagua / Ingiza kipengee
• Huteua au kurekebisha vipengee.
• Huthibitisha vipengee vilivyoteuliwa.
• Wakati unacheza faili ya picha: Bonyeza G ili kuchagua faili iliyopita.
Bonyeza g ili kuchagua faili inayofuata.
Wakati unacheza faili ya muziki/video: Bonyeza ili kusitisha/
kuanzisha uchezaji. Bonyeza na ushikilie G/g ili kupeleka mbele
haraka/kupeleka nyuma, kisha achilia kitufe mahali unapotaka
kuendelea kucheza.
• Katika hali ya dijitali: Bonyeza ili kuongeza idhaa kwenye orodha
wazi ya Vipendwa au kuonyesha orodha ya Vipendwa.
q; RETURN
• Hurudi kwenye skrini ya awali ya menyu yoyote iliyoonyeshwa.
• Wakati unacheza faili ya picha/muziki/video: Bonyeza komesha
kucheza (uonyesho hurudi kwenye mwonekano wa faili au kijipicha).
Kutumia runinga
(Inaendelea)
11
SW
qa HOME
Huonyesha au kughairi menyu.
qs 2 +/– – Sauti
Hurekebisha sauti.
qd ./X/x/>/m/N/M
Unaweza kutumia kifaa kinachotangamana na BRAVIA Sync ambacho
kimeunganishwa kwenye runinga. Baadhi ya vitufe vingine kwenye
rimoti huenda vifanye kazi pia kwenye kifaa cha BRAVIA Sync.
qf "/1 – kiweko cha runinga
Bonyeza ili kuwasha runinga au kubadilisha kwa hali ya kusubiri.
qg – Modi Pana
Hubadilisha ukubwa wa picha. Bonyeza kwa kurudia ili uchague hali
pana unayotaka (ukurasa wa 13).
qh 3D
Bonyeza kuonyesha menu ya 3D.
qj – Mada ya kuweka
Bonyeza kubadili lugha ya mada (ukurasa wa 39) (katika hali ya dijitali
pekee).
qk/ – Maelezo / Ufichuaji maandishi
• Huonyesha maelezo. Bonyeza mara moja ili kuonyesha maelezo
kuhusu vipindi/ingizo unalotazama. Bonyeza tena ili kuondoa
uonyesho kutoka kwenye skrini.
• Katika hali ya Maandishi: Hufichua maelezo yaliyofichwa (k.v. majibu
ya fumbo).
ql OPTIONS
Bonyeza ili uonyeshe orodha ambayo ina njia za mkato za baadhi ya
menyu za mpangilio.
Chaguo zilizoorodheshwa hutofautiana kulinga na ingizo na maudhui ya
sasa.
w; – Idhaa ya awali
Hurudi kwenye idhaa ya awali au ingizo lililotazamwa (kwa zaidi ya
sekunde 15).
wa PROG +/–//
• Huteuwa idhaa inayofuata (+) au iliyopita (–).
• Katika hali ya Maandishi: Chagua ukurasa ( ) ufuatayo au uliopita
().
ws % – Nyamazishsa
Bonyeza ili kunyamazisha sauti. Bonyeza tena ili kurejesha sauti.
12
SW
x Kubadilisha Modi Pana
Kwa Runinga, Video, Kijenzi au HDMI/MHL
Kuza Pana*Hupanua eneo la katikati la picha.
Mipaka ya kushoto na kulia ya
picha hupanuka ili kujaza skrini
ya 16:9.
KawaidaHuonyesha picha ya 4:3 katika
ukubwa wake wa asili. Pau za
pembeni huonyeshwa ili kujaza
skrini ya 16:9.
NzimaHupanua picha ya 4:3 kimlalo ili
kujaza skrini ya 16:9.
Kuza*Huonyesha matangazo ya
sinemaskopiki (fomati ya
kisanduku cha barua) katika
mgao sahihi.
14:9*Huonyesha matangazo ya 14:9
katika mgao sahihi. Kama
matokeo yake, maeneo ya
mipaka nyeusi huonekana
kwenye skrini.
* Sehemu za juu na chini ya picha huenda
zikakatwa.
• Huwezi kuchagua “Kawaida” au “14:9” kwa
picha yenye chanzo cha mawimbi ya HD.
Ingizo la kompyuta la HDMI (Kipima muda
cha kompyuta)
KawaidaHuonyesha picha katika ukubwa
wake asilia wa pikseli. Pau
huonyeshwa juu, chini, na pande
zote kwa picha ndogo.
Nzima 1Hupanua picha asili ili kuaza
skrini kiwima, kwa kuweka mgao
wake asili kwa mlalo-hadi-wima.
Nzima 2Hupanua picha Nzima 1 kimlalo ili
kujaza skrini ya 16:9.
Kutumia runinga
13
SW
Muhtasari wa vitufe na viashirio
vya runinga
KipengeeUfafanuzi
1 "/1– Nishati
2 2 + / – / / • Huongeza/hupunguza sauti, au huchagua idhaa ifuatayo (+) au iliyopita (–)
3 CH/INPUTHubadilisha kati ya skrini ya IDHAA Juu/Chini na huingiza skrini ya kuchagua.
4 – Sensa ya rimoti
5 "/1– Kiashirio cha Kuzima Picha / Kipima saa
Bonyeza ili kuwasha runinga au kubadilisha kwa hali ya kusubiri.
• Kungoa kabisa runinga kutoka kwa umeme wa AC , vuta plagi kutoka kwa
soketi ya umeme ya AC.
wakati skrini ya IDHAA Juu/Chini inapoonyeshwa kwa kubonyeza kitufe cha
CH/INPUT.
• Husogeza chanzo cha ingizo kilichoteuliwa juu/chini wakati skrini ya kuteua
ingizo inapoonyeshwa kwa kubonyeza kitufe cha CH/INPUT.
Hupokea mawimbi ya IR kutoka kwa rimoti.
Usiweke chochote juu ya sensa, kufanya hivyo huenda kukaathiri utendaji
wake.
• Inawaka kwa rangi ya chungwa wakati “Kipima saa c. Kuwasha”/“Kilalishaji
cha Majira” kikiwekwa, au Runinga iko kwenye hali ya fremu ya picha.
Ukiweka “Kipima saa c. Kuwasha”, inawaka rangi ya chungwa wakati
Runinga ikiwa katika pumziko (ukurasa wa 42).
• Taa zinawaka kijani wakati “Kuhifadhi Nguvu” kumesetiwa “Zima Picha”
(ukurasa wa 44).
– Kiashiria muda wa kusubiri
Huwaka rangi ya nyekundu wakati runinga iko katika hali ya kusubiri.
– Kiashiria nishati
• Huwaka rangi ya kijani wakati runinga imewashwa.
• Humweka wakati rimoti inatumiwa.
14
SW
• Hakikisha kwamba runinga imezimwa kabisa kabla ya kungoa waya umeme ya AC. Kungoa waya ya umeme
ya AC wakati runinga umewashwa kunaweza kusababisha kiashiria kubaki kikiwa kimewaka au huenda
ikasababisha runinga kutofanya kazi vizuri.
z • 2 + Kifungo kina kitone chenye mguso. Kitumie kama marejeleo wakati unatumia Runinga.
Kutumia runinga
15
SW
Kutumia Vifaa vya Hiari
Kuunganisha vifaa vya hiari
Unaweza kuunganisha vifaa mbalimbali vya hiari kwenye runinga yako.
Kichezaji
Mfumo wa
burudani wa
nyumbani*
Mfumo
wa sauti
Kamkoda
DVD
chenye
HDMI
towe
Kompyuta
(HDMItowe)
Kichezaji
Diski ya
Blu rei
Kifaa cha MHL
Kamera tuli ya
dijitali
Vifaa vya masikioni/
sauti ya Hi-Fi vifaa
Vifaa vya sauti vya Hi-Fi na
ingizo la sauti
S VHS/
Hi8/DVC
kamkoda
Vifaa vya
mchezo
wa video
Kichezaji
DVD
Kamkoda
Media ya hifadhi
ya USB
VCR
Kichezaji DVD chenye kijenzi towe
* Kutoa sauti ya runinga’ kutoka kwa spika za runinga, unganisha Sauti towe ya runinga’na mfumo wa kuingiza wa
burudani Nyumbani’ kwa kutumia kebo ya sauti.
SW
16
Loading...
+ 36 hidden pages
You need points to download manuals.
1 point = 1 manual.
You can buy points or you can get point for every manual you upload.