Wisdom Stoves M2 User Manual

Page 1
Phone: 0701 367878/ 0723 241907 E-mail: [email protected] Website: www.wisdomstoves.org Facebook.com/WisdomStoves
P.O. Box 271 North Kinangop 20318 Kenya
Customer Care Line: 0701 367878
WIS DOM INN OVA T IO N S
USER MANUAL
Further Instructions
Maelezo zaidi
√ Avoid pouring liquids on the stove
Hakikisha jiko haimwagikiwi na kitu chochote
√ It is good to ensure there is always some-
thing cooking on the jiko. If there is nothing placed on the jiko, there is a possibility of the fire going out, especially if the wood is not totally dry.
Ni vizuri kuhakikisha kuna kitu kinachopikwa kwenye jiko. Kuna uwezekano wa moto kuzimi­ka kama hakuna kitu kinachopikwa, sanasana kama kuni zako hazijakauka kabisa
√ The stove should not smoke. Incase you
notice that your stove is emitting smoke or soot is forming on your pot use a long stick to push down the charcoal forming on the wood. The flame should be coming from the holes only but not from the wood
Jiko haifai kutoa moshi. Ukiona jiko yako inatoa moshi ama masizi yanaachwa kwenye sufuria, tumia kijiti kirefu kusukuma makaa yaliyo juu ya kuni. Moto unafaa kutoka kwenye mashimo pekee na wala sio kwenye kuni zenyewe
√ Converts wood into charcoal √ Saves fuel by more than half
over the open fire
√ Produces very hot flame √ Does not smoke when used cor-
rectly
√ Does not form soot on the pot
when used correctly
√ Can use wood, maize comb,
crop stems and other dry bio­mass
√ Easy to light √ Durable
EFFECTIVE. EFFICIENT. ECO-FRIENDLY.
M2
M2
M2
Page 2
1.
Make sure the stove sits properly
on a level, heat proof surface
without leaving spaces at the point of contact
Hakikisha jiko imekalia sakafu vizuri bila kuacha nafasi katikati.
Unaweza kutumia kizuizi
kisichopasha joto rahisi kwenye
sakafu.
2. Load dry wood into the stove. Ensure the wood is tightly packed together without leaving spaces in between. The
wood should not come above the holes at the top of the fuel chamber.
Panga kuni zilizokauka kwenye
jiko. Hakikisha kuni zimeshikana vizuri bila kuacha mapengo katkati. Kuni hazifai kupita mashimo yaliyo juu ya sehemu unayoiweka kuni
3. Slot in small pieces of wood at the top of the bigger pieces
Weka vipande vidogo vidogo vya
kuni juu ya kuni kubwa ulizozipanga
Please follow the following instructions
Tafadhali fuata maagizo yafuatayo
6.
After about 11/2 hours, the flame will turn from orange to blue and glowing charcoal will be left. You can leave the charcoal in the jiko where you can continue cooking or damp the charcoal for future use.
Baada ya lisaa limoja na nusu hivi, ndimi za moto zitaisha na makaa yanayowaka yatabaki kwenye jiko. Unaweza kuendelea kupika ukitumia haya makaa. Unaweza pia kuyazima na kuyahifadhi.
NB: When all the wood has turned into
charcoal more charcoal or wood can be added in small amounts to prolong the cooking period
Kuni zinapogeuka na kuwa makaa,
unaweza kuongeza kiwango kidogo cha makaa au kuni ikiwa unataka kuendelea
kupika kwa muda mrefu zaidi
4. For easier lighting, dip a few small pieces of wood in kerosene
then place them on top. (You can also light the stove without using
kerosene)
Unaweza kutumbukiza vipande vin­gine kwa mafuta taa kisha uviwe­kelee juu. Washa jiko kutoka juu (Bado unaweza kuiasha jiko bila kutumia mafuta taa)
NB: Don’t pour kerosene on the wood. Usimwagilie mafuta taa kwenye kuni
After about 5 minutes, now you are ready to cook! If the flames come up too high, use a long piece of wood to gently push down the char-
coal that has formed on top of the wood. This will reduce the flames
Baada ya dakika kama tano hivi wekelea chakula chako na uanze ku­pika! Moto ukiwa mwingi sana, tumia kijiti kirefu kusukuma chini makaa yaliyo juu ya kuni zinazochomeka, ili
kupunguza moto
5.
This user manual is available on our
website on www.wisdomstoves.org
Loading...